Mpango wa VICOBA bado anaendelea vizuri, kila jumanne wanawake wanakutana.
Mafundisho kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa ulifanyika Gezaulole tarehe 12 mpaka 15 januari. Siku ya kwanza ilikuwa ngumu kidogo kwani washiriki wengi hawakuwa wenye kisomo kikubwa. Kila mtu alipewa posho ya 2.5 ilihusisha Ofisi ya Hali ya Hewa ya serikali na mwezeshaji alikuwa mtaalaam wa mambo ya hali ya hewa na pia ni mwanachama wa Chama cha Africa kuhusu Mabadiliko ya Hewa. Gharama zote za semina zilikuwa Euro 1863.
Uzio na mradi wa umeme - jua vimekamilika. Kuna taa hadi chooni (hapana, umbali kutoka kwenye kifaa cha umeme jua ni mkubwa).
Kutakuwa pia kifaa cha kuchaji simu za mkononi.
Pia kuna mpango mzuri kuhusu jiko la kutumia jua. Juliana sasa anachemcha maji kutumia jiko la jua.
Kijijini Mbwamaji familia 6 za Kiislam wana umeme-jua.
Sasa kuna mpango wa kujenga majiko nje ya nyumba ambayo ya na toa moshi na kutumia kuni kidogo tu. Yana tumiwa pia usiku na wakati wa mawingo au mvua, wakati jiko la jua halitumiki. Wanawake watalipa nusu ya gharama (€ 45)
March 29 hadi April 1, wanachama 3 pamoja na 1 wa support group wameshiriki katika kongamano la mimea ya dawa (miti shamba):
Mbegu za papai, kitinguu saumu, mapera, maembe, mwarobaini, artemisia, msubili,mzwaziwa.
Gharama € 68
Habari kutoka Finland 2010
Tampere Kehhitysmaakauppa
(: barua pepe: posti@kehitysmaakauppa.org) inaendelea kuagiza henna ya Kalimata na kuingiza Finland. Kiasi kimeongezeka, kufukia pakiti 700 mwaka 2010. Pia unaweza ukaipata kutoka Maailmankauppa Tasajako na duka linaloitwa Shop Runsaudensarvi in Tamperere. Katika hairsaloon Hius-Ilkka katikaToijala wanatumia hinna kuwapaka wateja wao na pia kuwauzia ambao wanapenda wakatumie wenyeye nyumbani. Hinna ya Kalimata inauzwa pia Maailma kylässä- Festival Helsinki .na “Soko la Fursa” huku Hämeenlinna.
Katika sehemu nilizozitaja hapo juu tulitangaza Utalii wa Kutegemeana kwa Tanzania, kwa Gezaulole, kijiji cha historia cha zamani ufukweni mwa Bahari ya Hindi, kilometa 16 kusini mwa jiji la Dar es Salaam. Pale kuna uwezekano wageni kupata kujua maisha ya kijiji cha Afrika, kuangalia sanaa za jadi,na wasanii wakifanya kazi zao na kuburudika na uzuri wa kijiji. Baada ya siku iliyoyaa shuguli, wanaweza kulala katika nyuma ya wageni ya wanawake, iliko katikati ya kijiji na kuchagua mahali pa chakula baina ya familia za wanakikundi wa Kalimata Kijai.
Mwanachama wetu mpya, Hanna Stöckel alikwenda Gezaulole mwanzoni wa Mwaka 2010. Alishiriki katika seminar ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa ambayo Support Group ya Dar es Salaam ilifanya Gezaulole Januari 2010. Alifurahia kukaa katika amani na uzuri wa kijijini, pia kushiriki katia semina muhimu na nzuri.
Mkutano wa mwaka ulifanyika Hammeelinna tarehe 27, mwezi wa tatu. .Wenye viti na wanachama hai walikuwa wakikutana kwenye shuguli mbali mbali kama kwenye masoko.
other in informal occasions, e.g. during the markets.
·
Ushirikano wa Kali Mata Holland na wanawake wa Kali Mata Gezaulole pamoja na support group Dar es Salaam unaendelea kama zamani. Mwishoni mwa Augusti 2010 Tulikuwa na mkutano Hameenlinna.Trui Goslinga pia alikuwepo. Pia alishiriki nasi katika “ Market of Opportunities huku Hämeenlinna.
· Mtindo wa kukopeshana wa VICOBA na mpango wa kutangaza na kuhusisha mbinu za kitaaluma utaendelea katika sehemu nne ambazo unafanyika sasa.
· Kikundi kipyia cha VICOBA kitaanzishwa kijijini ambapo Amina Ubaya anaishi. Kwanza watatafuta za mafunzo. Gharama € 400
Nyumba ya kulala wageni na utalii
· Irma Paap alikaa wiki moja kwenye nyuma ya wageni ili kuongeza ujuzi wake wa kisuahili.
· Mwezi wa tano 2011 Trui Goslinga atakwenda Tanzania kwa wiki tatu kwa ziara ya tathmini.
· Catheline Geuze (mtunza hazina wetu) pia alitembelea nyumba ya kulala wageni Gezaulole.
· Namba ya wageni kwenye nyumba 10,wageni wamelala jumla ya usiku 31
· Asante sana :
· Remonstrant Church of Oosterbeek.
· Westerkerk Amsterdam,
· Foundation SaamhorigheidsFonds Heemstede
· Theegarden Den Haag
Wafadhili wote na watu wakujitolea wa Kali Mata
Jarida hili itafasiriwa katika Kiingereza, Kidutch, Kifinnish na Kiswahili
Tunawatakia .heri na baraka kwa mwaka 2011...
.
Mvumlivu hula mbivu (maneno ya khanga)

Nyumba ya wageni ya Kali Mata ina vyumba vitatu vya kulala, vitanda vitatu vya kienyeji na vyandarua na shuka za kutosha. Bei ya chumba chenye kitanda ni 5000 Tsh (€ 2,50) . na chumba
Viwili ni 4000 Tsh (€ 2,00) kila mmoya kwa usiku mmoya
Wakati wa mchana unaweza kula sehema zitafuatazo
Kwa habari zaidi wasiliana kwa simu zifuatazo
Elisabeth malocho:
enmalocho@hotmail
de gsm: 002255 784976984 or
Juliana (manager)
gsm: 00255 782704716